yerusalemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waafrika Mmerogwa? Ardhi tukufu sio Makkah, Madina wala Yerusalemu

    Enyi watu weusi kataeni porojo za waarabu na wazungu. Nendeni mkahiji vijijini kwenu huko huko Chididimo, Nanjilinji, Kagongwa nk. Huko ndiko kuna baraka sio kwa waarabu wala wazungu. Nenda kamsalimie babu yako, bibi, baba na mama yako, usisahau kuwapelekea zawadi za mjini kama una uwezo...
  2. Kwanini Wakristo wanaposali hawageukii au kuelekea Yerusalemu (Qibla) kama Mfalme Sulemani alivyofanya?

    Kitabu cha 1 Wafalme 8:29-30 kinatuambia kwamba Mfalme Sulemani aliomba huku akilielekea hekalu lililokuwa Yerusalemu. Sasa swali ni hili: kwa nini Wakristo hawafanyi sala kama Sulemani? Mbona hawana mwelekeo maalum wanaposali? Usiumize kichwa kutafuta majibu. Majibu haya hapa: Kwanza ni muhimu...
  3. Yerusalemu – Kikombe cha kulewesha Mataifa

    Huo ni unabii ulioandikwa katika Zekaria 12:2 – “Tazama, nitaufanya Yerusalemu kuwa kikombe cha kulewesha kwa mataifa yote yaliyo pande zote…” Mungu alimtumia Nabii Zekaria kutoa unabii huo wa ajabu kwamba Yerusalemu haitakuwa tu mji wa kawaida, bali utakuwa kikombe cha kulewesha. Katika lugha...
  4. Je, Tanzania inarudia historia ya Yerusalemu?

    SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
  5. Muhammad hakuwahi kufika Yerusalemu

    Katika uchunguzi wa kihistoria usioegemea upande wa kidini, hoja ya kwamba Muhammad muasisi wa Uislamu aliwahi kufika Yerusalemu kwa safari ya kawaida haina ushahidi wowote wa kihistoria. Hakuna rekodi ya kihistoria ya safari ya mwili iliyomfikisha Muhammad katika mji wa Yerusalemu, tofauti na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…