Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Yericko Nyerere amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu kwa msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Kigamboni, Yericko amesema kuwa Wanakigamboni wanahitaji mabadiliko, na kwamba...