yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

    Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo. Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick Bahasha fc.
  2. FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC πŸ“† 03.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  3. Naiona dalili ya Pamba kupanga matokeo dhidi ya Yanga kwa kumuachia yanga ashinde magoli mengi

    Naiona dalili ya match fixing mapema tu kwenye mechi ya Yanga kesho dhidi ya Pamba jiji na hii inachagizwa na kauli za kipuuzi za viongozi wa pamba kujifanya wanajiweka pembeni kwenye mechi ya kesho eti kisa wao ni mashabiki wa Yanga. "KWA HERUFI KUBWA MIMI KAMA MDAU WA SOKA NAPINGA VITENDO...
  4. Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  5. FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šKMC FC πŸ“† 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  6. Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

    Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine. Diara juu ya mstari, je mpira...
  7. Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

    Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama...
  8. Dah! Ila Gamond wa msimu huu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki

    Dah! Huyu mwamba huu msimu kaamua kuja kivingine kabisa kwa ufupi hasomeki. Yahani akikutana na timu kubwa na inayojua ball anaibamiza bao za kutosha, ila akiutana na wachovu pale ndio unajua mtu anakula nyingi siku hiyo ndio anapata ushindi mwembamba. Rejea hizi games Yanga 1 Vs Ts galaxy 0...
  9. Yanga SC ni mbovu

    Hapo vip! Kwa mchezo na matokeo ya leo ya Yanga dhidi ya Ken Gold ni dhahiri ya kwamba yanga ni timu mbovu sana. Na leo imedhihirisha hizo timu Yanga alizocheza nazo za club bingwa CBE SA na Vital O ni matimu mabovu kuliko hata Keny Gold. Ken Gold amezulumiwa gold la wazi ingrkuwa draw. Club...
  10. Nayaona Maisha ya Gamondi Yanga kuwa mafupi sana

    Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo ) Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
  11. Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  12. Mama Samia vilabu vya Simba na Yanga vipe sapoti mwaka kesho wasajili wachezaji wa viwango vya hali ya juu utanishukuru nakuambia

    Mama Samia wewe na wanasiasa wenzako endeleeni kubanana hivyo hivyo huku ukiendelea sisi wananchi tupe zindiko tu la kusapoti vilabu vyetu vya Simba na Yanga tupate burudani ya mpira na nyie muendelee kufinyana huko na kutembelea magari yenu ya kifahari. Soma Pia: Rais Samia kununua kila goli...
  13. Simba na Yanga kujua wapinzani wao kwenye makundi katika draw ya October 7, 2024

    Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October. Kila la kheri Simba na Yanga https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?utm_source=ig_embed&ig_rid=efe7b6f8-a056-4a0f-b130-f9cf100859e6&ig_mid=FB4546D4-2091-437A-A6A7-7AFA15166059...
  14. Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  15. Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  16. FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

    Match Day CAF Champion League Young Africans SC VS CBE SA 2nd Preliminary round 2nd Leg Stadium: New Amani Stadium Zanzibar Date: 21-09-204 Time 8:30pm EAT Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
  17. Anguko la Kocha Mokwena na team ya mamelodi je ni Karma ya Yanga?

    I salute you kinsmen..! Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final. Kwa sasa mokwena ana hali ngumu pale wydad kwani amekuwa mtu wa vipigo kila siku anababuliwa kama...
  18. K

    WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

    Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..! Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
  19. Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

    Hapo vip!! Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu. 1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya...
  20. Nimeshangaa Mchambuzi TV-E anasema Dube anapigwa misumari( kurogwa) pale Yanga

    Tanzania vituko haviishi yaani Mchambuzi aliyesoma akiwa live kabisa. Anasema Dube kukosa nafasi ni laZima analogwa na washambuliaji wenzake akina Musonda, Mzize na Baleke Huyu bwana haamini katika mpira hajui mpira wa Sasa ni sayansi. Yaani ligi imechezwa mechi 1 na mechi 2 za CAF jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…