Timu ya Wananchi Yanga SC leo itakuwa uwanjani katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone kutokea Botswana, mchezo utakochezwa uwanjwa wa Azam Complex saa 1 kamili usiku
Katika mchezo wa kwanza Timu hizi zilitoka kwa Sare ya goli 1 kwa 1, kwahiyo leo yoyote...