yanga princess

Yanga Princess is a Tanzanian professional women's football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. The club features in the Tanzanian Women's Premier League. The club is affiliated to Young Africans SC who play in the Ligi Kuu Bara.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  2. TFF kufungia mchezaji wa Yanga Princess, Jeanine Mukandayisenga kisa utata wa jinsia ni hujuma kwa timu yetu

    Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
  3. Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

    Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
  4. Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

    Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha Forward za yanga...
  5. PreGE2025 Yanga Princess Mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025

    Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan. Timu hiyo ilionesha ubora wake tangu hatua za awali, ikitinga fainali kwa ushindi mnono wa 7-0 dhidi ya Fountain Gate Princess katika...
  6. FT: Yanga Princess 0-1 Simba Queen, Ligi ya Wanawake

    Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam. Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu dhidi ya mtani wake ambaye kwa miaka ya hivi karibuni amekuwa mnyonge. Katika Ligi Kuu ya...
  7. Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
  8. Kocha mkuu wa Simba Queens ameonekana akimpa maelekezo kocha msaidizi Mgosi wakati pumzi ya moto waliyo kuwa wanapelekewa Yanga Princess

    Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess. Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…