yanayoendelea tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yanayoendelea Tanzania yanafurahisha sana

    Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote? Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari...
  2. PostGE2025 Jumuiya ya Madola (Commonwealth) yasikitishwa na yanayoendelea Tanzania

    The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania. Read the statement 🔗 bit.ly/CMAG-71 Ministers expressed concern over reports of breaches of core Commonwealth values, including human rights, freedom of expression, democracy, the rule of law, and good...
  3. Mtazamo wangu juu ya yanayoendelea nchini Tanzania kwa sasa

    Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu. Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
  4. M

    Nazimisi sana nyakati ambazo sikujua mengi kuhusu Tanzania, nilikuwa mwenye furaha lakini kadri ninavyozidi kuona mengi napata machungu na majonzi

    Nazimisi sana nyakati ambazo sikujua mengi kuhusu Tanzania, nilikuwa mwenye furaha lakini kadri navyozidi kuona mengi, nina machungu na majonzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…