Habari ya weekend wakuu!
Husikeni na tangazo hapo juu, Mapazia 6 used kidogo yanauzwa 4 ni rangi ya maroon 2 meupe yanafaa kuwekwa sitting room au bedroom nk. Huwa yanawekwa Mapazia 3 dirisha 1 hivo 6 yatafaa kwa madirisha 2, bei yake jumla ni 100,000/= dukani huuzwa sh 30k hadi 35k kwa kila...
Habarini wandugu,
Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi.
Bei laki 4 elfu 50.
Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi.
Yanapatikana Mbweni Malindi/ JKT.
Piga 0759970963
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia)
Debe la mahindi utapata KWA 8500
Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa.
Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k.
Ila ofa hii ipo KWA kipindi hiki cha Ramadhani baada ya hapo haitokuwepo tena wahi sasa KWA 8500 tu.
Karibuni
Mbwewe barabara ya Tanga kabla ya kufika mkata
Mashamba kilomita
Kilomita 1 Kutoka barabara kuu ya lami : 250,000 kwa heka
Kilomita 3 Kutoka barabara kuu ya lami : 200,000 kwa heka
Kilomita 10 Kutoka barabara kuu ya lami : 100,000 kwa heka
MUHIMU : Unaweza kupata Kuanzia acre 10
Mpaka acre 500...
apartment
bagamoyo
bei
biashara
eneo
fuso
gari
heka
inauzwa
ist
kawawa
kibamba
kibiashara
kilimanjaro
kinauzwa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kuagiza
kuagiza gari
madale
magari
mbezi
mbezi beach
mkopo
n.k
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kupangisha
plot
shamba
subaru
toyota
uwekezaji
viwanja
yanauzwa
zinauzwa
Toyota HARRIER [D.J.M]
Year : 2006
Capacity : 2360cc
Mileage : 89,000kms
Price : 17.5M
Location: Mbezi Beach
Call : 0717436363
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app