wizara ya mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wizara ya mazingira saidieni upunguzaji wa taka za plastiki

    Waziri unayehusika na mazingira, Tafadhali okoa ardhi ya Tanzania kwa kuhakikisha unapunguza uchafuzi wa mazingira kwa taka hatarishi za plastiki na vifaa vya kielekitroniki. Nina uhakika miaka 10 ijayo ardhi ya nchi yetu haitafaa tena kwa kilimo sababu itakuwa imechafuliwa sana. Unalipwa na...
  2. KERO Vumbi la koyla changamoto kubwa Kiomoni

    Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha NEELKANTH, kila inapofika majira ya saa 4 usiku kila siku vumbi lisilo la kawaida limekua likifika Kwa...
  3. KERO Kigogo: Kiwanda cha kuyeyesha Plastiki kinazalisha moshi unaosambaa kwenye makazi ya Watu

    Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi kwenda angani, wakianza shughuli zao za uyeyushaji moshi unasambaa barabarani na majumbani kwa watu...
  4. J

    NEMC, Wizara ya Muungano na Mazingira ni wazi wameshindwa kudhiti uharibifu wa mazingira

    Kama umezaliwa kijijini kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma hebu jaribu kuvuta picha ya mazingira nyuma(mito, milima, mapori) jinsi yalivyokuwa then linganisha na leo ndio utaweza kukielewa ninachoenda kuzungumzia. Nimezunguka sehemu nyingi za nchi hii kutoka kaskazini, mpaka kusini kanda ya kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…