wizara ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfumo wa e-ardhi

    Habari wanajamii Mbele yenu naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyewahi kuhamisha umiliki (transfer) wa ardhi, hati za mfumo mpya kupitia e- ardhi. Maana mimi nimefanya kila kitu mpaka kupata tax clearance lkn mfumo ndio unanikwamisha kuendelea na transfer. Nimefika jiji majibu ni yaleyale...
  2. Wizara ya ardhi yawajengea uwezo wadau wa mradi wa uimarishaji miundombinu ya upimaji

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Mradi wa Kuimarisha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) imeendesha semina ya kuwajengea uwezo wadau wa mradi huo kutoka taasisi mbalimbali kuhusiana na namna mradi mradi huo unavyorahisisha kazi katika maeneo yao. Semina hiyo imefanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…