wivu wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Busega: Aua Mkewe kisha naye kujinyonga kutokana na tuhuma za kusaliti Ndoa

    Edward Manyangu (41) mkazi wa kijiji cha Ijitu Wilaya ya Busega mkoani Simiyu anadaiwa kumuua mkewe, Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao akizungumza leo Jumanne Mei 11, 2021 amesema tukio hilo lilitokea jana Mei 10, 2021 baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…