Baada ya PayPal kufungiwa kutumika Tanzania kumekuwa na changamoto kubwa ya kupokea pesa za kimataifa kwa sababu wengi wetu tumekuwa tukizoea kupokea pesa kwa PayPal.
Lakini kuna Online money transfer moja nayo inafanya kazi vizuri tu. Hii inaitwa WISE, hii platform inaruhusu kutuma na kupokea...