william lukuvi afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eti "Nimevipiga vita vilivyo vizuri". William Lukuvi kapigana vita gani Vizuri? Nisaidieni

    Ukienda msibani kwa Lukuvi, wameweka bango lenye maneno ya kwenye Bibilia kutoka 2 Timotheo 4:7 "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda" Wazee wa zamani naomba mnisaidie, William Lukuvi ambaye juzi Samia alimtumbua kabla ya watu kumtetea akarudishwa, Kapigana...
  2. Mwigulu Nchemba: Niliongea na Lukuvi jana tukapanga kikao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.
  3. Ismani Independence Day? State Minister William Lukuvi dies at 73

    Guys I truly believe people are going to drink heavily today. Beer, spirits, everything. After all, the “black colonizer” of Ismani constituency has finally passed away Honestly, I wouldn’t be surprised if TBL shares go up today, with all the celebrating going on. We started with...
  4. TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

    Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani. Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
  5. M

    CV ya William Lukuvi

    Hon. William Vangimembe Lukuvi Member Type : Constituent Member Constituent : Ismani Political Party : CCM Phone : +255755333334 P.O Box : P.O Box 76999, Dar es Salaam Email Address : w.lukuvi@bunge.go.tz Date of Birth : 1955-08-15 Education History : School...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…