wilaya ya mbinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi anaenda kinyume na Sera ya Elimu, analazimisha Wanafunzi wasome masomo yote

    Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na Mtaala wa Elimu wa 2014 ulioboreshwa wa 2023. Mtaala huo wa sasa unawataka wanafunzi kusoma masomo...
  2. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga kutoa Kompyuta 139 Shule za msingi Wilaya ya Mbinga vijijini

    Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Vijijini ili kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu katika wilaya hiyo. Mhe. Kapinga ametoa ahadi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…