Habari zenu wadau.
Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki.
Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda...