Samia anakuja kuongeza hasira za vijana kuandamana badala ya kuja kuponya majeraha.
Najua atasema, vijana walilipwa, akijua anawatetea kumbe ni dharau kwao kuwa hawana akili ya kuamua mustakabali wa maisha yao hadi walipwe.
Atasema, walioandamana hawakuwa watanzania, wakati waliokamatwa...