watu wasiyojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Fanya hivi ili usidakwe kirahisi na 'wanamtandao' wanapokutafuta kupitia Instagram

    Wakuu, Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde. Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa...
  2. PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea leo June 9 na kesho June 10 Mahakama ya Kinondoni

    Wakuu, Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni. Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama waandishi wataruhusiwa kwenda kuripoti, maana ni kama kila anayejaribu kufuatilia anaambiwa atulize fuvu.
  3. B

    PreGE2025 Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini imekuwa ngumu kupata taarifa za kesi hii?

    Kwa taarifa zilizopo kwa kumulika kwelikweli na tochi ni kuwa kesi ya wale jamaa waliojaribu kumteka Tarimo A.K.A Bonge itaendelea June 9 na 10, 2025. Kwanini itakuwa siku mbili, hata mimi mwenyewe sijui, labda wanasheria watueleze vizuri kuhusu hili. Tukija kwenye sehemu ya pili, toka wakati...
  4. M

    PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

    Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda. Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji...
  5. PreGE2025 TANZIA Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili

    Mwili wa Sheikh Jabir Haidar Al Farsi umekutwa usiku wa kuamkia leo, Jumatano Mei 28, 2025, katika eneo la Bumbwisudi akiwa tayari amefariki dunia. Taarifa za awali zinaeleza kuwa huenda marehemu alishambuliwa na watu wasiojulikana, ingawa pikipiki aina ya Vespa aliyokuwa akiitumia ilikutwa...
  6. Jerry Muro haelewi kama hakuna mwekezaji ataenda kuwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana?

    Jerry Muro naona huelewi kama hakuna mwekezaji anaweza kwenda kufanya uwekeza kwenye nchi ambayo anajua muda wowote anaweza kutekwa na watu wasiyojulikana.
  7. PreGE2025 Kulikoni polisi kuingia Kisutu na mask za majambazi? Je, hiyo ni sehemu ya sare yao? Kama sio kwanini wazivae?

    Wakuu, Moja ya matukio yaliyonishangaza jana kwenye kesi ya Lissu pale Kisutu ni baadhi ya polisi kuvaa mask kama za majambazi ambao hawataki kujulikana sura zao! Nilijiuliza mengi sikupata majibu! Kwanini wavae vile wakati zinahusishwa na matendo ya kiuhalifu? Kwanini wajizibe sura kwanza...
  8. PreGE2025 Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa

    Wakuu, Sasa hivi ni mwendo wa kutekana tu, hali inazidi kutisha, ni muda wa wananchi kuungana kuliko wakati wowote ule kupinga udhalimu huu. === Mtumishi wa Mungu anayejulikana kama Mwl. Steven Jacob aliripotiwa kutekwa asubuhi ya jana Mei 16, 2025 nyumbani wake na watu wasiyojulikana ambao...
  9. PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

    Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
  10. P

    PreGE2025 Haya ndio magari wanatumia kusubilia watu ili baadaye waje kusema siyo wao?

    Salam Wakuu, Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa. Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga? Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
  11. PreGE2025 Moshi: Mwanaume adaiwa kutaka kutekwa, vijana wasimama kidete kuzuia

    Wakuu, Inasemekana hapo ni Moshi majira ya saa 19:35 maeneo ya Mbuyuni sokoni ambapo watekaji walikuja na Noah nyeusi wakamkamata kijana mmoja wakataka kuondoka naye ila wananchi waliwagomea! Wakatoa pingu huku wamevaa kiraia hapo ndio raia raia wakazua balaa kabisa. Maswali ni yale yale...
  12. PreGE2025 Zanzibar: Polisi wakanusha taarifa ya Mjumbe wa Kamati Kuu ACT kudaiwa kutekwa na vyombo vya ulinzi, wasema alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana

    Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  13. PreGE2025 Ni wakati sahihi Dkt. Slaa kutuambia nani alimpiga risasi Lissu

    Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani alimpiga risasi Lissu? Ni wakati mzuri wa Dkt. Slaa kutupa yale majibu yake. Pia soma Dkt. Slaa...
  14. PreGE2025 Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk...
  15. Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

    Amani iwe nanyi wapendwa Wale watoto waliotekwa hatimaye wamepatikana lakini watekaji wameuliwa. ===== Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana Wanafunzi wawili wa Shule ya Blessing Model...
  16. Dar: Mwili wa mtu asiyejulikana wakutwa kwenye shimo la choo Tabata

    Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽‍♀️😔. Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu? ===== Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba...
  17. Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea Januari 21, 2025 baada ya jalada kutokuwepo Januari 9. Ni mara ya pili mfululizo kukwama

    Wakuu, Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi. ===== Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
  18. PreGE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

    Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu! Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
  19. Mtangazaji wa TV3 Gwamaka Francis aliyetangazwa kupotea siku kadhaa nyuma apatikana kwa shangazi yake Kitunda

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3 Januari, 2025 amepatikana akiwa kwa shangazi yake Kitunda, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya...
  20. PreGE2025 Watu wanaopotea/kutekwa karibuni kupatikana kwa ndugu/jamaa kuna jambo linatengenezwa, there are no coincidences!

    Wakuu, Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa kufanya kuwa wote waliotekwa wameamua kujificha wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali. Wakienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…