watanzania wanyonge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wanyonge wanajuta kuzaliwa hii nchi

    Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula. Lakini miaka ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itabaki milele madarakani sababu inaongoza masikini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana. Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu yaani ile ya kujipendekeza kwa tajiri nafikiri mmenipata. Kuna siku kamapeni ilifanyika mkoa fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…