watanzania kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  2. R

    JamiiForums GE2025 Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Dodoma: Wazo la Kuandamana si la Watanzania halisi, ni Watu fulani wanaokusudia kuiweka jamii katika hali ya kuogofya

    Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohamed anaisistiza kwamba suala la kuandamana sio mawazo ya Watanzania walio wengi bali ni baadhi ya watu. Jawadu Amesisitiza Hilo Kufuatia Vuguvugu la Baadhi ya Wanasiasa na Wanaharakati wa Haki za Binaadamu Wanaoishi Ndani na Nje ya Nchi...
  3. JamiiForums Video: Watanzania naombeni muangalie video hii kwa makini sana. Usipite bila kuchukua funzo hili

    Wakuu, Kuhusu kwanini Watanzania hawaandamani au kuungana pamoja kupinga uonevu unaoendelea nchini nadhani hii video imeelezea vizuri kwanini Watanzania hawafurukuti Huyu mhadhiri ameielezea vizuri sana. Kuna kitu cha kujifunza. Lissu yuko ndani, tuko kimya. Kura zinaibiwa tuko kimya. Any...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…