Msanii wa Kenya Bien alipata nafasi ya kufanya mahojiano katika kipindi cha Breakfast Club Power New York, Marekani, ambapo aliongea mambo mbalimbali ikiwepo hali ya siasa nchini Kenya.
Amesema pia kumekuwa na matukio mengi ya utekaji, akisema kumekuwa na uhuru wa kujieleza lakini si uhuru...
Wakuu!
Kwa muda sasa nimefuatilia mwenendo wa wasanii wetu hasa kipindi hiki ambacho joto la uchaguzi Mkuu limepamba moto.
Sina shida na msanii yeyote kuonesha mlengo wake wa kisiasa huo ni uhuru wa mtu binafsi. Ila kinachokera na kuumiza ni pale msanii anapogeuka kuwa CHAWA wa Kisiasa...
Wakuu salam,
Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa...