warangi

Warangi is a village development committee in Morang District in the Kosi Zone of south-eastern Nepal. At the time of the 1991 Nepal census it had a population of 2745 people living in 506 individual households.

View More On Wikipedia.org
  1. Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe? Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣 Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
  2. Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  3. M

    Wanawake Wanyaturu , Wanyiramba na Warangi wametulia na wavumilivu kwenye ndoa?

    Hili swali nimeona nililete hapa jukwaani, Huyu dogo nadhani atakua kwenye utafiti maana hajaoa ndio anatarajia ajifunge kitanzi mwakani. Je, katika kuuliza juu ya wanawake kutoka kwa Wanyaturu, Wanyiramba na Warangi kama ni watulivu ama namna gani. Kila mmoja pale alijibu la kwake Mfano...
  4. Dah, aisee Warangi wazuri sana

    Hata sijui nisemeje mnielewe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…