Hivi wanawake wa makabila yote wanafanana tabia na wanawake wa kirangi kuficha watoto kwa bibi zao baada ya kugombana na wanaume zao ?
Nimekutana na Sampuli ya Wanawake kadha wa kadha wa Kirangi ambao wamejisifia kufanya hivi baada ya Kugombana na wenza wao
Nikasema nije kwenye jamvi niulize