wapumbavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi moja Afrika wao kuitana kwa Titles za Daktari wa Falsafa au Profesa hadharani ni Ufahari, wakati Taifa lao ni Masikini na Wapumbavu wanaongezeka

    Na Historians akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE alias "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" tunajua kuwa Taifa la Kwanza kwa Kujitambua Afrika ni Ghana na Taifa la Kwanza Afrika kwa kuwa na Demokrasia bora na Katiba safi kwa Wananchi wake ni Ghana na mwisho kabisa...
  2. X

    Ni Jumamosi nyingine, siku nyingine wanaume wapumbavu kwa gharama wanaoa wanawake waliotumika

    Ni Jumamosi nyingine tena mamia ya maelfu ya wanaume wajinga duniani kote wanawafanya wanawake used kuwa wake zao kwa sherehe za mamilioni ya pesa. Wanaume kadhaa walishaichapa bure kabisa na wanajua kuwa she ain't valuable for marriage. Ila kuna simp leo anamfanya kuwa mke na kuspend millions...
  3. Video: Huyu ni Askari Magereza ?

    Huyu ni Askari Magereza ?, Kama jibu ni ndio basi huko Magereza kuna Watu wapumbavu sana
  4. Ni ajabu hawa watu wana PhDs lakini ni Wapumbavu kabisa

    Kuna watu wana elimu ya juu kabisa, wana PhD, lakini ni wapumbavu wa kutupwa. Hebu leo tuangalie baadhi yao: Richard Dawkins (PhD in Biology). Huyu ameshinda tuzo nyingi kwa kazi zake za sayansi, lakini anatumia muda mwingi kuhubiri kuwa Mungu hayupo. Anasema maisha yalitokea kwa bahati tu...
  5. Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  6. Safari pub ni uwozo. Wahudumu jikoni ni wapumbavu

    Uzi huu hauna maana kuharibu biashara ya mtu yoyote. Kwa sasa biashara ni ushindani haiwezekani kuna shida tubung'ae kama mazombi. Kinyerezi imefunguliwa casino. Lazima mfanyabiashara uwe na customer servece nzuri. Hawa mabintinwa safari pub Kinyerezi mwisho upande wa jikoni hawafai kuwepo...
  7. Dini zimefanya wananchi wa Kinole - Morogoro Vijijini kuwa Wapumbavu

    Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa wa kidini. Kwanza, wanakijiji waislamu wamejenga upande wao na wakristo wamejenga upande wao...
  8. M

    Kunaibuka kizazi ambacho baadhi ya watu wamwekuwa wakishabikia upuuzi wa kwenye mitandao ya kijamii kuliko masuala ya muhimu

    Fikiria suala la Pididdy lilivyowachukulia muda wao kulijadili kuluko hata kujadili suala muhimu la kilimo na elimu. Sasa hivi kichwani mwao ni suala la Baltsar Engonga. Kana kwamba ni wapuuzi wanaoshinda kudadadavua mambo Hawajui kuwa sayansi na technolojia ipo juu kiasi kwamba hata picha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…