wapo

The Washington Post (also known as the Post and, informally, WaPo) is an American daily newspaper published in Washington, D.C. It is the most-widely circulated newspaper within the Washington metropolitan area, and has a large national audience. Daily broadsheet editions are printed for D.C., Maryland, and Virginia.
The newspaper has won 69 Pulitzer Prizes, the second-most of any publication (after The New York Times). Post journalists have also received 18 Nieman Fellowships and 368 White House News Photographers Association awards. The paper is well known for its political reporting and is one of the few remaining American newspapers to operate foreign bureaus.
The Post was founded in 1877. In its early years, it went through several owners and struggled both financially and editorially. Financier Eugene Meyer purchased it out of bankruptcy in 1933 and revived its health and reputation, work continued by his successors Katherine and Phil Graham (Meyer's daughter and son-in-law), who bought out several rival publications. The Post's 1971 printing of the Pentagon Papers helped spur opposition to the Vietnam War. Subsequently, in the best-known episode in the newspaper's history, reporters Bob Woodward and Carl Bernstein led the American press's investigation into what became known as the Watergate scandal, which resulted in the 1974 resignation of President Richard Nixon. The advent of the internet expanded the Post's national and international reach. In October 2013, the Graham family sold the newspaper to Nash Holdings, a holding company established by Jeff Bezos, for $250 million.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

    Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?. Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema . Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO...
  2. Kwa hapa tulipofika CCM wapo tayari kufanya lolote ili waendelee kubaki madarakani.

    Ccm wapo tayari kufanya lolote lile ili Tu waendelee kubaki , kuteka, kuuwa mtu , kumpoteza mtu na ikiwezekana hata kubaka mtu ili kumdhalilisha na kumtia najisi ili Tu waendelee kubaki madarakani..Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia " ukiona matatizo na ugumu wa maisha umekithiri ujue wepesi na...
  3. Sheikh Mwaipopo: Waislamu ni Walalamishi, wanafiq na wapo Disorganized

    Huyu muda si muda ataanza pigwa mawe au atapatwa na kitu.
  4. Wazo la JKt ni wazo la Uganda kipindi cha Amimi

    JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda. Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana. Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini. Mimi sio mzuri sana wa kuweka mambo mengi ila kisa cha Museveni na Sudani wa Al Bashuri ilikuwa ukabila na udini...
  5. Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  6. Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "Tundu Lissu hatoki" unajua nimeshangaa sana na wana uwezo mdogo sana wa ufahamu

    Kuna watu wapo humu heti wanatutisha "tundu lissu hatoki" mnatoa tu maneno yenu bure unajua nimeshangaa sana na wanauwezo mdogo sana wa ufahamu inasikitisha. Nimesikitishwa kwa hilo kwasababu yoyote anayeshabikia mtu asiye na hatia na kumsingizia mambo ya uongo huku yeye ndio mbaya muuwaji...
  7. Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  8. S

    Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  9. Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  10. Wapo wapi wanasimba hawa?

    Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama wanachunguliaga humu japo mara mojamoja nitafurahi mno, members hawa ni- Ghazwat mzee wa mwana kulitaka...
  11. Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

    .
  12. PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

    Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
  13. CHADEMA wapo mitandaoni , je hao Chadema walipo mitandaoni ni maroboti sio WATU ?

    Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
  14. Askari Polisi ni wengi leo Mitaa ya Dar es Salaam, wanaimarisha ulinzi na wanaonekana wapo tayari kwa β€œkazi”

    Naona ulinzi umeimarishwa mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, maeneo mengi kuna askari ambao wanaonekana wapo tayari kwa kazi wakiwa na silaha, magari ya maji ya kuwasha, virungu na vingine vingi.
  15. Nadhani adhabu ya Viboko iwe ni moja wapo ya Adhabu Vyuo Vikuu Vyote Nchini Tanzania

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane Nimekuwa nikisema mara kadhaa ya kwamba,mwanadamu yeyote aliye na ngozi nyeusi ni ngumu sana kumkontroo bila maamuzi magumu na yanayoumiza! Sisi ngozi nyeusi tuko tofauti kabisa katika uelewa ukilinganisha na ngozi nyeupe! Hebu fikiria hivi...
  16. Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  17. Wapo radio lisambalitisheni hili kundi la wachekaji watatu

    Wapo Radio vipindi vyenu kuanzia saa moja na robo ausubuhi hutangazwa na kundi la watanazaji watau, hawa watangazaji hupenda kutumia muda mwingi wakichekacheks! Badala ya kutangaza kinachotakiwa kwani kitendo hiki hutupotezea muda wa kusikiliza tunachokitaka. Pamoja na kuchekacheka hili...
  18. Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  19. Kwanini watu wa karibu na Mbowe ndo hao hao wapo G55 ina maana harakati zote , za kufungwa , kunyanganywa mali zilikuwa bortion?

    Unajua katika hii dunia trust no one . Haiwezekani watu wakufunge Wakunyanganye Mali Wakuite majina yote mbaya then baada ya hapo uwatangazie msamaha. Haiwezekani . #Kataa Ccm #No reform no Election.
  20. R

    Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…