Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimepata pigo kufuatia kifo cha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani humo, Mariam Manyangu, aliyefariki dunia leo Jumamosi Machi 21, 2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa CCM Mkoa wa Simiyu...