Mpaka sasa bado sijakutana nao kabisa yaani maana mnalalamika sana kuwa wanawake wameweka pesa mbele ila siajua mpaka sasa wapo wapi maana nliowahi kuwa nao na nliekuwa nae hadi sasa naona wako coool tu
Ishu ni hii kila mwanamke ni kweli anapenda pesa ila kila mwanamke ana mwanaume wake...