wananchi day

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa taarifa tu mkude ndie mchezaji pekee ataagwa na timu mbili tofauti kwa heshima..Simba day na wananchi day

    KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
  2. JamiiForums Tanzania Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awabubujisha machozi ya furaha wana Yanga, awapigia simu Uwanja wa Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna Mwanadamu anapendwa na Kukubalika kuliko Binadamu wote Barani Afrika, basi Binadamu huyo ni Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Mama anapendwa mpaka watu wanatokwa na kububujikwa na machozi ya furaha. Mama...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
  5. JamiiForums Tanzania Kamwe atangaza ratiba ya Wiki ya Wananchi

    Wakuu, Kumbe na kwenye soka kiki ni dili! … Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024) Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…