Wanafunzi wawili wa chuo cha Must Mbeya wamefariki katika machimbo ya Mererani walikokuwa wameenda kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo
Chanzo cha vifo vyao imedaiwa kuwa ni kukosa hewa ndani ya mashimo hayo
---
Wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must) wamepoteza maisha...