Wachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)zaidi ya 50 Kutokana Kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, wametishia kurudisha kadi endapo jina la Mtia nia Udiwani aliyeingoza kwenye kura za maoni alitorudishwa.
Wakizungumza wakiwa katika ofisi ya CCM Mkoa Morogoro, Wanachama hao wamesema...