wanaanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JF wanaanga, Nina swali kidogo

    I'm not much of technologist lakini I'm confused. I can’t claim that the Apollo 17 mission in 1972 was fake, since I have no proof and that would just be an emotional argument. However, I’m curious: if humans were able to land on the Moon with the technology available in the 1970s, why is...
  2. JamiiForums Tanzania Hatimae wanaanga waondoka Duniani kuelekea Mwezini

    Artemis II: Safari hatari na ya kihistoria, binadamu wanarejea Mwezini baada ya miaka 50. Kwa mara ya kwanza katika zaidi ya miaka 50, binadamu anarudi Mwezini, akisafiri zaidi kutoka Duniani kuliko mtu mwingine yeyote aliyewahi kuwa hapo awali. Wanaanga wanne watafanya safari ya zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga Cha Iran kabla ya kuangamizwa alisema anatamani kumuua Trump na wenzake

    Amir Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Irani (ambaye aliangamizwa katika shambulizi la ufunguzi wa Operesheni ya "Simba Anayeinuka"), alisema katika mahojiano ya 2023 ya TV: "Tunatamani kuwaua Trump, Mike Pompeo (aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaanga Russia na Marekani warejea duniani baada ya miezi tisa

    https://www.aljazeera.com/news/2025/4/20/soyuz-ms-26-spacecraft-brings-us-russia-crew-back-to-earth Kumbe wanashirikiana kwenye mambo ya anga
  5. JamiiForums Tanzania Je ni kweli tukio la wanaanga kurudishwa dunia ni la uongo ?

    e E Siku ya Jana Tarehe 19 MACHI 2025 Kuna video toka Nasa inayoonyesha Wanaanga Waliokwama kwenye kituo cha Anga cha kimataifa cha ISS Wakirudi Duniani kwenye fukwe za bahari jiji la Florida. Baadhi ya watu mbalimbali walikua wakitoa maoni yao kwenye Mitandao ya kijamii na kusema Nasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…