"Ni aibu mbunge anaposimama bungeni na kushangaa..eti ni kwa nini hakuna hata waziri wetu mmoja anayemiliki hata ndege moja nchini?" Je, kwa pato lipi kama sio kuusifia wizi,ufisafi na ubadhirifu wa pesa za walipa kodi wa Tanzania?
Ni kweli, tumekwisha yaona madhara ya wahuni ndani ya siasa na...