waliomteka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Nikumuona Boniface Mwabukusi akiendelea kukaa pamoja na waliomteka na kumuua Mdude Nyagali naishiwa nguvu.

    Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati. Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
  2. J

    Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
  3. Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
  4. Polisi: Tumewakamata watuhumiwa waliokula njama ya kutaka kumteka Tarimo - Kiluvya

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam inaendelea vizuri. Pia soma: Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa...
  5. Waliomteka na kumuua Mzee Ali Mohamedi waajua kama watu wa Tanga wana nongwa?

    Moderator naomba uzi wangu usiunganishwe na uzi mwingine sehemu yeyote. Tafadhali. Niende kwenye mada hapo juu. Katika hii mission ya kumdhuru huyu mzee ambae hakuwa na impact yeyote kwenye nchi bali alikuwa na impact katika maisha yake na watu wake waliomzunguka . Nipende kusema kwamba hawa...
  6. M

    Peter Madeleka: Nina uwezo wa kwenda Mahakamani kufungua kesi na kuwajua waliomteka na kumtesa Sativa

    Ameandika Wakili msomi. 👇 "Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…