Habari za muda huu wana JF,
Leo nimeona nitoe shukrani au kuwapongeza MAIMAMU wa misikiti mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam,kwa kuanzisha utaratibu wa kuwasaidia ndugu zetu walemavu wa Macho.
Nimejaribu kufuatilia Misikiti mingi nimeona wameweka siku na muda maalumu wa kuwasaidia watu hawa...