wakrislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Merry Eid Wakrislam wenzangu, zana tayari tunazo, tupeane mialiko tu!

    Shalom-Aleykum Wakuu Marry Eid kwa Wakrislamu wote jukwaani hapa ✨️✨️✨️, msherekee kwa furaha, pia msiwe wachoyooooo, Pasaka Mubarak inakuja jamani, tumeshakubaliana kila sikukuu tunatokea wote, sasa tupeane location kwenye kunanunia. Si mnajua uchumi ni mbaya, uchumi unakaba, tupeane fursa za...
  2. PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

    Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti. Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…