wakikuyu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wachaga na wakikuyu ni ndugu waliiojificha wakafichuliwa na tabia zao

    Wachaga na Wakikuyu Wote wanalima kahawa Wote wanapenda pesa Wote ni wakatili Wote ni wezi Wengi wao ni Wakristo Wote ni wakabila Wote ardhi zao zinafanana Wanaishi kwenye miinuko ya milima Kilimanjaro na Kenya respectively Wote hupenda kudumisha mila Wote wana tabia ya kuchukuana ndugu kwa...
  2. Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  3. S

    Miaka 10 ijayo siasa za Tanzania zinaweza kuamuliwa na Wasukuma kama ilivyo wakikuyu Kenya

    Hawa jamaa ni wengi na bado wanazaliana kama siafu Kisiasa inawapa advantages ya kiutawala yani wanaweza kuamua Rais awe nani Wakiamua kuitoa CCM madarakani itakua kazi rahisi sana. Ponapona ya CCM ni kutoruhusu upinzani utie kambi mikoa husika vinginevyo itabaki story Siasa za Kenya huwa...
  4. Ivi wakikuyu au wabantu wa kenya wanaoa wasomali??

    Nauliza hivi kwasababu wagumu sana kubadilika yaan wasomali ni zaidi ya masai
  5. U

    Kwa mara ya kwanza Kenya itaongozwa na Rais pamoja na Naibu Rais ambao hakuna hata mmoja anayetokea kabila la Wakikuyu

    Wadau hamjamboni nyote? Historia imeandikwa nchini Kenya Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu Kawaida Rais akiwa mkikuyu Naibu hutoka kabila jingina na ikitokea Rais siyo mkikuyu Naibu wake Huwa mkikuyu...
  6. M

    Wachagga, Wakikuyu na Waigbo

    Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede. Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana. Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii nyingine. Tofauti kidogo kwa Wakikuyu ambao wao walishika dola miaka mingi ila Wachagga na Waigbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…