wakikua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watoto wangu wakikua watanipenda zaidi wakijua wamechukua uzuri wangu

    Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
  2. Ungependa mwanao akikua afanye kazi/shughuli unazofanya wewe au la?

    Heshima mbele wakuu. Tumeshuhudia mara nyingi, watoto hurithi kazi za wazazi wao. Kama baba alikuwa mwimbaji mtoto nae anakuwa mwimbaji, kama mama alikuwa muigizaji mtoto nae anakuwa muigizaji. Baba na mama wanasiasa/viongozi watoto nao pia wanapita humo humo. Hata wezi nao pia watoto wanaiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…