Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amepongeza chama cha wake wa viongozi Ladies of new millennium group kwa kuandaa dua maalumu ya kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Sixtus amesema jambo...