Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ?
Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija kutumia inasema haina salio hata kama uliacha salio,nani anayetumia hizo pesa? Kwani ni card hizo...