Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii jinsia wanawake na Makundi Maalumu Maryprisca Mahundi amesema Serikali haitoi uhalali wa uvunjifu wa maadili kwa wananchi wake.
Mahundi amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara aliyetaka kujua uhalali...