Rais Yoweri Museveni wa Uganda, ambaye anagombea kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa Januari 2026, hakujitokeza kushiriki mdahalo wa televisheni wa wagombea urais uliofanyika usiku wa kuamkia leo.
Kwenye mdahalo huo, wagombea watano pekee kati ya wanane ndio walihudhuria, akiwemo mpinzani mkuu...