Wakuu habari,
Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer.
Haitakua busara Mgombea wa CCM kupewa gari maana wanajitosheleza wale, kwanza msafara wa kuchukua tu fomu ilidhihirisha tayari...