Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM kumpongeza mwenyekiti, kamati kuu, halmashauri kuu na wagombea wote walioteuliwa.
Baada ya mchakato...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, ni watanzania TU tunapuuzia kila kitu paspo na sababu.
Samia ni lini alichukua fomu kuomba ridhaa ya chama kimteue kugombea uraisi wa Tanzania? Kwenye mafaili ya maraisi wagombea kwa CCM Mwaka huu mtaweka nyaraka Gani? Je ni sehemu gan ya katiba yenu inasema...
Mchakato wa kuteuwa wagombea CCM wangeachiwa wanachama wamchague wanayemtaka, baada hapo wanachama ndio wawapeleke kamati za chama taifa ambapo watakwenda kuangalia vigezo kwenye kamati kuu baada ya hapo wakamrudisha mgombea wao
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao.
Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
Wakuu,
Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections?
Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No...
"Nimekuja kutoa shukrani kwa kuteuliwa kuwa mgombea pekee wale waliokuwa wanadhani wana nafasi basi watambue hawana wasubiri 2030 ndio waje"
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba
Soma pia: Pre...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama wa chama hicho kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wanaokubalika na Wananchi katika uchaguzi ujao, Oktaba 2025. Akisisitiza kuwa viongozi ni wa watu na lazima wakubalike na wapiga kura ili washinde...