Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...