Kupitia Tour ya IShowSpeed tunategemea ongezeko kubwa la Live Streaming na content creators wengi kuwa Live Streamers kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitch ambao ndio ulikuwa mtandao uliokataliwa barani Afrika. Mtu wa Afrika ilikuwa ngumu kupata watazamaji kwenye mitandao kama Twitch. Lakini...