Imeelezwa kuwa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imejipiga kuwa na Chuo kila Wilaya nchini ili kusogeza karibu fursa ya wananchi kupata ujuzi ambao utaweza kuwawezesha kujiinua kiuchumi.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, wakati...