Wasalaam wana JF wote.
Chama cha Mapinduzi (CCM) kina kila sababu ya kubadili mbinu za kivita. Kama tetesi zinavyoenea kwamba kuna utekaji,kuumizana,kubambikiana kesi,kuuwawa nk mbinu hizi zote ni kwa minajili ya kusalia madarakani ,kwa mtazamo wangu ni liability kwa chama na taifa kuliko...