Kuna tatizo la ubonge linainyemelea nchi. Hasa kwa watu wa kipato cha kati. Kiufupi ubonge unatokea pale ambapo unakula chakula chenye nguvu nyingi kuliko unazohitaji. Matokeo yake chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama mafuta mwilini na kuleta ubonge.
Hivyo basi ili kuepuka ubonge tunahitaji...