VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA MBEGU (SHAHAWA)
1. KARANGA
Karanga ni chanzo kizuri cha protini, zinki na mafuta asilia.
Zinki husaidia sana katika:
Kuongeza uzalishaji wa mbegu
Kuboresha ubora na wingi wa mbegu
Kuimarisha hamu ya tendo (shahawa)
Matumizi bora: Karanga mbichi au zilizokaangwa...