vuguvugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  2. JamiiForums Tanzania Within a fraction of a minute, amani ya taifa letu ilirejeshwa baada ya vuguvugu la CHADEMA kuzimwa

    Taifa makini hutumia cohesive apparutus inavyotakiwa. Ndio maana ya kuwa na vyombo vya usalama makini. Panapotokea fununu ya kuvunja amani ya nchi. Basi vinaitervene kwa umakini na kudhibiti wanaotaka kuleta vurugu. Yapata wiki tatu sasa hali ni shwari kabisa iwe kimawazo hata kimatendo. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali, tumieni mbinu hizi ili kukabiliana na vuguvugu la Katiba nchini

    Maji yakimwagika hayazoleki! Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini! Kuendelea kutumia jeshi la polisi kuzuia hiki mlichokianzisha wenyewe ni kujiua wenyewe kisiasa na kupoteza uhalali wa serikali yenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…