Tina Chenge mke wa Mzee wa Vijisent, Andrew Chenge, ameibuka kinara katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalumu mkoa wa Simiyu, baada ya kupata kura 631 kati ya kura halali 1,029 zilizopigwa.
Kura hizo zilipigwa katika Mkutano Maalumu wa UWT mkoa wa Simiyu uliowakutanisha...