vitendo vya ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi kinawavutia wanawake kuwaalika mashoga kwenye shughuli zenu?

    Inasikitisha sana wanawake ndio mama zetu wanatubeba tumboni miezi 9 lakini kuna sikielewi na kinanishangaza sana kwenye shughuri za dada zetu imezuka tabia ya kualika mashoga na inaonekana mashoga na wanawake picha zinakwenda sana. Sasa swali langu ni kitu gani kinachowavutia? Na je mtoto wako...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kusitisha huduma za Athuman Kapuya Foundation

    Wasaalam. 4 Juni, 2024, Dodoma. ________________ Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa taarifa na kulipa ada. Kwa mujibu wa usajili wao malengo waliyotekeleza na kupelekea hatua...
  4. JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…